john kay Member Joined Jun 23, 2014 Posts 49 Reaction score 9 Apr 28, 2015 #1 wanajamiii; hasa wale wadau wa ujasiriamali. Nahitaji kujuzwa kwa maeneo ya Bunda ni fursa zipi zaidi za biashara naweza kushugulika nazo. Nahitaji kwenda, ikibidi hali ya mzunguko wa pesa wilaya ile upo vipi... Natanguliza shukrani za dhati wadau...
wanajamiii; hasa wale wadau wa ujasiriamali. Nahitaji kujuzwa kwa maeneo ya Bunda ni fursa zipi zaidi za biashara naweza kushugulika nazo. Nahitaji kwenda, ikibidi hali ya mzunguko wa pesa wilaya ile upo vipi... Natanguliza shukrani za dhati wadau...
C COPPER JF-Expert Member Joined Dec 28, 2012 Posts 2,368 Reaction score 1,488 Apr 28, 2015 #2 Fursa ni nyingi ni wewe kujipanga kwa ukitakacho.
john kay Member Joined Jun 23, 2014 Posts 49 Reaction score 9 Apr 30, 2015 Thread starter #3 Asante mr Cooper
M malimi katoro JF-Expert Member Joined Mar 31, 2015 Posts 358 Reaction score 153 Apr 30, 2015 #4 Bunda pazuri,nimesoma chuo cha ualimu hapo,bnafic nilipapenda,kilmo,uvuvi,biashara na ufugaji ndo shughuli za hapo bunda mwlmu
Bunda pazuri,nimesoma chuo cha ualimu hapo,bnafic nilipapenda,kilmo,uvuvi,biashara na ufugaji ndo shughuli za hapo bunda mwlmu
R Richard Chummy New Member Joined May 20, 2014 Posts 3 Reaction score 2 Apr 30, 2015 #5 kilimo kitakutoa
john kay Member Joined Jun 23, 2014 Posts 49 Reaction score 9 Apr 30, 2015 Thread starter #6 :tonguez::tonguez: Inavyoonekana Bunda kwa kilimo wako vizuri wapendwa ndo imepangwa kufundisha Secondari hapo hivyo nashukuru kwa ushauri wenu
:tonguez::tonguez: Inavyoonekana Bunda kwa kilimo wako vizuri wapendwa ndo imepangwa kufundisha Secondari hapo hivyo nashukuru kwa ushauri wenu
L levi makalanga Member Joined Dec 27, 2012 Posts 78 Reaction score 49 May 6, 2015 #7 Utalii, na nishati