Elections 2010 Kwa anaetaka kuwahi kumpigia kula rais wetu Dakta Slaa....soma hapa!!!

mirindimo

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2009
Posts
901
Reaction score
1,742
Ukienda na mtoto mchanga siku ya kupiga kura utapewa higher priority.Sasa j.mosi nitaanza kupokea watoto chini ya miaka mitatu na kutoa Tsh.2000 kwa mzazi.Siku ya j.pili atakayetaka kuwahi aje amchukue mtoto kwangu kwa Tsh. 5000.NB:baada ya uchaguzi watoto wote watarejeshwa kwa wazazi wao salama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…