Kwa anaeuza viatu

Kwa anaeuza viatu

TBR-Legendary

Member
Joined
Jul 4, 2013
Posts
9
Reaction score
2
Wana JF nahtaj kufungua biashara ya kuuza viatu(simple), kama converse, snika na vyovyote ambavyo vipo simple zaid na quality(grade 1) vya mtumba. hvyo anaeuza kwa bei ya jumla au anamjua mtu anaeuza naomba aandikie namba ya cmu ili tuwasiliane tufanye biashara, then nasikia vinavyotoka kenya ndo vipo quality zaid.
 
Kama unasort ununui baro na upo Dsm amka mapema saa11:30 uwe Karume sokon utapata quality shoes kwa bei nzuri ila kukisha pambazuka hata uwe mzoefu bei inapanda.Ni hayo tu mkuu.
 
Kama unasort ununui baro na upo Dsm amka mapema saa11:30 uwe Karume sokon utapata quality shoes kwa bei nzuri ila kukisha pambazuka hata uwe mzoefu bei inapanda.Ni hayo tu mkuu.

na awe makini pia,,,pale kuna madogo wenyewe ndo wanajiona alwatan,,hawatakubali,,,mi niliwahi kuchotwa mtama kisa nilidamka kuwahi viwalo bei poa...ila ukifanikiwa utapiga bao vibaya mno
 
Back
Top Bottom