Wana JF nahtaj kufungua biashara ya kuuza viatu(simple), kama converse, snika na vyovyote ambavyo vipo simple zaid na quality(grade 1) vya mtumba. hvyo anaeuza kwa bei ya jumla au anamjua mtu anaeuza naomba aandikie namba ya cmu ili tuwasiliane tufanye biashara, then nasikia vinavyotoka kenya ndo vipo quality zaid.