Je..? Hii philosophy ina uhusiano wowote na kupinga dini au kumpinga Mungu Duniani..?
Je.. Ilianzia wapi..?
Je..? Iliwezaje kusambaa Duniani
Je..? Ni kwanini nchi ya Marekani waliipinga hii philosophy
Je..? Kwanini wamarekani wanasema communism ni ushetani
Tafadhali najua unaweza kufahamu japo kidogo..! Au kama unafahamu mengi kuliko niliyo yauliza plz nijuze.. naitaji kufahamu..!