Kwa anaye ifahamu kisiwani secondary-same!

Joined
Mar 11, 2013
Posts
10
Reaction score
9
:fish2: Wana JF naomba msaada wenu tafadhali, mdogo wangu amechaguliwa kwenda KISIWANI SEC -SAME A-Level, kama kuna anayefahamu shule ilipo kule Same naomba anielekeze.

Naomba pia kujua kama shule ina bweni au ni ya kutwa, kwani tovuti ya wizara haina "details" zozote kunisaidia.

Natanguliza shukrani
.
 
duh kisiwani kwetu huko!!! ukitokea dar au moshi shuka pale same kuna magari yanakwenda kisiwani-gonja-ndungu!
 
Back
Top Bottom