:fish2: Wana JF naomba msaada wenu tafadhali, mdogo wangu amechaguliwa kwenda KISIWANI SEC -SAME A-Level, kama kuna anayefahamu shule ilipo kule Same naomba anielekeze.
Naomba pia kujua kama shule ina bweni au ni ya kutwa, kwani tovuti ya wizara haina "details" zozote kunisaidia.
Natanguliza shukrani.