Kwa anayefahahamu utaratibu wa kununua bidhaa kiwandani, Msaada tafadhali

Kama heading hapo Juu,
Mimi ni mfanyabiashara wa kati(middle class) kwa wajuvi wa suala langu hilo maoni yenu tafadhali.
Nenda kiwandani kwenye ofisi za mauzo(sales) wanapozalisha bidhaa unayotaka. Utapata Maelezo mubashara. Waeleze tu unachotaka wanakuwaga friendly sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…