Kwa anayefahamu biashara ya vitu hivi

Kwa anayefahamu biashara ya vitu hivi

Habari wanaJF,kwa anayejua biashara ya vitu ivyo hapo pichani...vinafahamika kama "LULU YA CHAZA" vilivyo ni kama madini ambayo hayapatikani kwa huraisi,hutumika sana na waarabu...sasa ninavyo vingi lakini sifahamu vinanuliwa wapi kwa hapa TZ,kwa anayefahamu soko lake tuwasiliane kwa 0712269097...asanteni.
Mtafute yule kijana wa Sheikh Yahya, wanayatumia sana kwa kazi zao. Sitanii.
 
kudadadeki we niji nini? mbona post kamakama ya unijiniji vile afu hizo picha ziko wapi sasa, haya hata usizilete hapa peleka kwa wale wanaovaa kama ninjazi.
 
Ngoja nitaweka picha baadae maana zipo kwenye smartphone na najaribu kuziupload lakini servers za jf zinasumbua kidogo.
 
Back
Top Bottom