Kwa anayefahamu historia ya mahakama ya hakimu mkazi kisutu, ajitokeze atusimulie

Kwa anayefahamu historia ya mahakama ya hakimu mkazi kisutu, ajitokeze atusimulie

nasrimgambo

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2017
Posts
1,902
Reaction score
2,488
habari wanajamii forums, leo nimeiwaza mahakama hii iitwayo mahakama ya hakimu mkazi kisutu, iliyopo pembeni ya maktaba kuu ya taifa katikati ya jiji la dar,

kwa hakika ndiyo mahakama maarufu zaidi nchini kuliko mahakama zote

na ndiyo mahakama ambayo kesi zake nyingi huandikwa magazetini na kuonekana kwenye vyombo vyengineko, pia watu wengi maarufu wa dar na nchi kwa ujumla wawapo na kesi mara nyingi wanapitia mahakama hii, hebu waelewa wa mambo na wajuzi mtupe historia ya mahakama hii imeanza lini kutoa huduma na mtusimulie lolote lenye kuvutia kusoma juu ya mahakama hii bila kusahau kesi zilizovutia wafuatiliaji zilizowahi kupita mahakama hii na mahakimu wake
 
Mleta mada kama ungeingia google, ukapiga simu kadhaa, ukaingia maktaba kila uka compile data ukaleta uzi wenye hivyo vitu ingekuwa umejiongeza sana kutupa historia ya mahakama hiyo ya hakimu mkazi Kisutu
 
Back
Top Bottom