Kwa anayefahamu kuhusu network marketing au biashara ya mtandaoni naomba kueleweshwa 🀲🏻

Taison Nelson

New Member
Joined
Jul 8, 2026
Posts
1
Reaction score
0
Kwa aAnayefahamu kuhusu network marketing au biashara ya mtandaoni naomba kueleweshwa 🀲🏻
 

Attachments

  • inbound6058727290613998715.jpg
    31.4 KB · Views: 9
β€œ Ukileta watu wa 2 na wao wakaleta watu wa 2 ambao nao wakaleta wa 2 kila mmoja utakua unapokea bonus million 8 kila mwezi 🀣🀣🀣 β€œ

Sema Jaribu Mkali Riziki Popote πŸ’―
 
sure
fanya kwa malengo then baada ya hapo utakua na cycle kubwa ya watu
NOTE: kama una lengo la kuwa na biashara yako πŸ“Œ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…