ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Kama Kuna mtandao unaujua ambao watu wananunua picha za nature n.k anisaidie jina lake yaani watu wakiipenda picha yako labda ya mnyama au beach au miti wakiupload wanachangia kiasi fulani maisha yanaendelea.