Kwa anayehitaji gari, Starlet Glanza ipo sokoni

jakackseru

Senior Member
Joined
Mar 15, 2014
Posts
132
Reaction score
27
Habari zamuda huu wanajukwaa wezangu, kichwa chahabari hapo juu chahusika, bei M4.8. Ni STARLET GLANZA V kama unahitaji nipm
 
Umekipiga polish kimeng'aa balaa, ila ungekipiga picha za kawaida ingekuwa byeee sana kuliko picha ulizopiga..

Hata ng'ombe ukitaka umkamue maziwa mengi, inabidi umlishe mashudu ya kutosha, right?
 
Kichwa cha habari cha husika 'anaegitaji!'
mii sigitaji!!!!!
 
imetembea kilomita ngapi? cc ngapi? hop ulikuwa uvutii ganja humo ndani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…