C cr9 Senior Member Joined Oct 13, 2010 Posts 185 Reaction score 103 Jul 19, 2013 #1 Members habari ya asubuhi. Nauliza kwa anayeifahamu vizuri shule ya atlas iliyopo tegeta mivumoni karibu na madale manispaa ya kinondoni. Je ni nzuri kwa watoto wa nursery na kama kuna changamoto zozote naomba nizijue
Members habari ya asubuhi. Nauliza kwa anayeifahamu vizuri shule ya atlas iliyopo tegeta mivumoni karibu na madale manispaa ya kinondoni. Je ni nzuri kwa watoto wa nursery na kama kuna changamoto zozote naomba nizijue