Kwa anayeifahamu VW BORA

TCleverly katika hizo MB na BMW unamshauri anunue ipi (same class and price range na BORA)?
 
Last edited by a moderator:
Kama unaongelea ufahari uko sahihi!

hivi ni idara gani unaweza kuifananisha VW na BMW???au VW vs M-BENZ???au VW vs AUDI
unaweza kuilinganisha passat na 5 series au passat na e-class??au passat na a6???

sio ufahari tu,kila idara inatolewa kwenye hizo BIG THREE.......VW ni average car
 
TCleverly katika hizo MB na BMW unamshauri anunue ipi (same class and price range na BORA)?

nikisema class maana yake ni saloon,suv etc.....not necessarily same price.....i hope tunazungumzia used hapa ambazo unaweza kushangaa bmw/mb ikawa cheaper kuliko VW....NINGEMSHAURI ANUNUE BMW 3 SERIES[318 AU 320]
 
Hizo habari za kuagiza spea nairobi mbona zishapitwa na wakati, nanunua spea za Golf 4 hapa hapa bongo, spea halisi na nikifunga nasahau kabisa. I LOVE MY GOLF GTI.
 
Hizo habari za kuagiza spea nairobi mbona zishapitwa na wakati, nanunua spea za Golf 4 hapa hapa bongo, spea halisi na nikifunga nasahau kabisa. I LOVE MY GOLF GTI.

heri yako.....mimi bado naagiza[sio nairobi] na ndio nakuwa na amani...btw sina VW
 
nikisema class maana yake ni saloon,suv etc.....not necessarily same price.....i hope tunazungumzia used hapa ambazo unaweza kushangaa bmw/mb ikawa cheaper kuliko VW....NINGEMSHAURI ANUNUE BMW 3 SERIES[318 AU 320]

Hiyo ni tafsiri yako mpya!
 
hivi ni idara gani unaweza kuifananisha VW na BMW???au VW vs M-BENZ???au VW vs AUDI
unaweza kuilinganisha passat na 5 series au passat na e-class??au passat na a6???

sio ufahari tu,kila idara inatolewa kwenye hizo BIG THREE.......VW ni average car

Naafikiana na wewe, sidhani kama mnunuzi anahitaji gari la kifahari, watanzania wa kawaida tunaendesha average cars, sasa kama wewe ulikuwa unaiweka VW na kuilinganisha na magari ya kifahari hilo ni tatizo lingine! VW toka mwanzo ni "gari la watu" kwa maana watu wa kawaida, na ni gari irahisi kurun na kumaintain toka enzi za Beetle
 
heri yako.....mimi bado naagiza[sio nairobi] na ndio nakuwa na amani...btw sina VW

Kabla sijanunua nilitishwa na stori kama zako za spea hakuna, mafundi hawazijui blah blah blah..... Miaka mitatu now na drive GTI sijutii kuinunua. By the way ebu chunguza barabarani sikuizi uone VW zilivyojaa.
 
usiniwekee maneno...kuna sehemu nimesema kwamba VW hazina spea??sina interest na VW coz nazijua vizuri from europe wewe unaongelea miaka 3 iliopita tena mark 4....!!nilichosema ni kuwa vw ni average car ukilinganisha na bmw/m-benz na audi na huo ndio ukweli huwezi kupinga...sasa ukichukulia personal coz u drive golf then im sorry,thats a fact,na zimejaa coz ni cheap used from japan
 
kama ungeelewa hilo tangu mwanzo ingekuwa ni vzr....post zangu nilikuwa nasisitiza....VW KULINGANISHA NA BMW/M-BENZ/AUDI.....sijataja aina nyingine kama PEUGEOT,RENAULT......
 
asante sana kwa maoni yenu mimi nahitaji gari ambayo ni durable kwa mazingira ya tanzania kwa kweli toyota nimezichoka
 
Mkumbushe pia hiyo BIG FOUR inabidi iwe BIG FIVE kasahau Opel 🙂

wewe ndio ukae kimya kabisa,kwenye gari za Europe u have nothing to tell me,ukiondoa class ya akina ferrari/lambo/porsche 911 the rest nimezichezea sana,i know them inside out.....OPEL au VAUXHALL,najua utakurupuka hio ni gari moja[OPEL zipo italy,german etc kwa UK ni VAUXHALL].....hizo ndio rubbish kabisaaaaaa.......VW ni gari ya maana mara 1000 ya OPEL

CORSA,VECTRA,ZAFIRA,ASTRA,OMEGA,FRONTERA,CAVALIER,CALIBRA etc hizo zote ni OPEL/VAUXHALL....hamna gari hapo
 
Asee hongera sana,Kumbe wewe lazima utakuwa mwerevu wa haya mambo. Mi sikuwa najua Opel zipo aina zote hizo. kwani hapa kwetu shamba hata tv za tabu. Ahsante kwa kunijuza ingawaje siwezi kunufaika na lolote kwa elimu ya leo .
Kazi njema. wacha tuendelee kujenga taifa
 
stop being sarcastic......ulifikiri OPEL ni gari ya maana eeh hio ndio hovyo kabisa.......eti big five pole....hata big ten OPEL haiingii
 
ngoja tujiendeshee yeboyebo zetu toyota,ila nasikia spare za audi uk ni bei poa,kazi kwa mfundi wa hapa tz
 
katika BIG FOUR[BMW,M-BENZ,AUDI,VW]......VW ndio gari mbovu,low quality.....kuwa mwangalifu sana
hut
You know nothing about VW cars, better keep you mouth shut instead of writting negative comments for something which you dont know.
 
29km/liter???
Ina engine ya Bajaji????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…