Kwa anayeijua/kusomea MOSHI HIGH SCHOOL aka OLD MOSHI!

Kwa anayeijua/kusomea MOSHI HIGH SCHOOL aka OLD MOSHI!

Toxicer

Member
Joined
Jul 6, 2013
Posts
42
Reaction score
0
Jaman wakuu vp mazingira ,chakula ,malazi ,na ufaulu wa kidato cha 6 hasa masomo ya science kama PCB? Kwa shule tajwa hapo juu! Na je bado ina o'level? Usumbufu mwingine kama kulima mazao je?
 
Bonge la shule. Nimesoma pale dogo nenda kapige kitabu ucwaze hongera kijana!
 
ni shule nzuri imekamilika kila idara, imepakana na chuo cha muccobs
 
Hapo jiandae na pesa ya twit...pale twn na kama unaeza anza mapema pre form 5...mengine utayakuta all the best.

Vipi kuhusu upatikanaji wa waalim wa Tuition kwa upande wa hiyo comb hapo mosh town mkuu?
 
Ni shule nzuri o level ipo ipo karibu na mjin imepakana na chuo cha polisi kwa mbele
pembeni pana chuo cha ushirika muccobs
ni sehemi nzuri hasa kama wewe mwenye unajua nn kimekupeleka hapo.
 
Mi ni mwl,nimewah kufanya fild pale.. 0713022370 nicol nikpatie machache
 
kaka zangu me naitwa stan nimepangiwa shule kagera na me naishi moshi je nifanyaje nije kusomea old moshi pcb
 
Msaada wakuu maana nimechaguliwa hapo pcb!

Ni bonge la shule yenye changamoto nzuri ya kimasomo na mambo ya mashamba hamnaga tena pia still ina o level. ni wew mwenyew na swala la kuzura ni free kabisa ila majengo ni yaleeeee ya kikoloni
 
kapige shule dogo old ni bonge la shule maisha ya pale kama mwanachuo hakuna longo longo mazingira safi
 
Back
Top Bottom