Kwa anayeijua miti hii tafadhali anijuze jina lake na mahali pakuyapata

Kwa anayeijua miti hii tafadhali anijuze jina lake na mahali pakuyapata

silver star

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2022
Posts
447
Reaction score
119
Habarini wadau, poleni na majukumu.

Kwa wanaoijua hii miti/maua hapo, anaweza kunijulisha kwa kiswahili yanaitwaje na wapi napoweza kuipata?

11.-Chinese-Money-Plant-523x550.jpg
8.-Hawaiian-Ti-Plant-1-420x420.jpg
6.-Jade-Plant2-547x550.jpg
5.-Rue.jpg
2.-Money-Tree-420x420.jpg
1287161215-H-614x420.jpg
1283232646-H.jpg
369940610-H-614x420.jpg
629469401-H-614x420.jpg
images (1).jpg


Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom