silver star JF-Expert Member Joined Mar 5, 2022 Posts 447 Reaction score 119 May 13, 2022 #1 Habarini wadau, poleni na majukumu. Kwa wanaoijua hii miti/maua hapo, anaweza kunijulisha kwa kiswahili yanaitwaje na wapi napoweza kuipata? Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Habarini wadau, poleni na majukumu. Kwa wanaoijua hii miti/maua hapo, anaweza kunijulisha kwa kiswahili yanaitwaje na wapi napoweza kuipata? Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app