Kwa anayejiamini anaweza

Hajasema usafi wa mwili au wa roho? Anazo pesa kiasi gani tuchanganye na zangu?
 
Anatafuta mme kweli?, au anatafuta mwanaume yeye ndio awe bwana na huyo mwanaume awe kama ndio bibi. Kwa maelezo yake sielewi kama ni mtu makini. Mpaka amefika umri wa miaka 43 hajapata. Aliokuwa wanammega je wako wapi?
 
LISA mimi sizani kama kutakua na mapenzi hapo au utumwa ndo unajongea?ok wanaoweza nawatakia safari njema but they must think logically before wajajitokeza.
 
43 hajapata mtu...loo huyu mtarimbo doro...my brothers stay away to this lady....
 
ni yeye mwenyewe, anatunga visa kufurahisha jamvi................... we endelea kuburudika kwa raha zako..................

sawa kabisa ni yeye mwenyewe lisa halafu anajifanya kuna mtu, mwanzoni alianza kama vile anafikisha ujumbe kupitia mtu mwingine kwa kusema anataka hiki na kile halafu amemalizia na nataka hivi na vile kuwa wazi mama usaidike
 

mmmmm I love MILF pm me I can hndle up to 6 times a day .but I wanna see the pic first
 
Tumuombee atapata tu amtakaye, inaonyesha hapendi wastaafu na yuko ki kazi zaidi. Suppose I am 54 will I be considered?
 
Corruption is worse than prostitution,the latter endangers the morals of an individual,the former invariably endangers the morals of the entire country.

Nimeipenda sana hiyo kauli mbiu yako Gender sensitive. hahaha
 
I would surely like to try on a 43 y.o lakini kwa wakti huu naogopa ngoma kuliko. Na mtu mwenyewe kajisema ni wa ma-night life, hapo najua condom huwa haiheshimiki kwao, most post-booze sex huwa ni vitu kama vilivyozaliwa! Inatisha kiaina. Condom naamini zinasaidia, au labda nina uzoefu huo, lakini zinahitaji cooperative partner. Watu wanaopenda zile ngono za mara nyingi hawaziwezi condom kamwe. Ukifanya na condom si rahisi uende round zaidi ya 2, maana tendo linachukua muda mrefu sana kumalizika hadi wahusika mnachoka. Wengine wakifikia hapo akili yote inahamia kinenani wanaamua kuvua condom ili wamalize tu, come what may! Ni balaa tupu.

Kifupi:
Night life + booze+ ngono mara nyingi=balaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…