ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Nashindwa kujua kwanini serikali haikuwapeleka hawa wasanii wawili huko Korea wakati mchango wao kwenye maigizo ya vichekesho upo wazi. Anyway mimi nataka nije dar kesho kutwa sasa natamani kweli nikutane na bambo nimnunulie bia najua kwa sasa maskani zao nahisi ni tabata bima au magengeni ila Sina contact zao mwenye kunipa ushauri wapi naweza kuwaona nikae nao niwaambie kwa jinsi gani nawakubali.