Kwa anayejua bambo na mtanga wanapatikana wapi hapo tabata aniambie

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Nashindwa kujua kwanini serikali haikuwapeleka hawa wasanii wawili huko Korea wakati mchango wao kwenye maigizo ya vichekesho upo wazi. Anyway mimi nataka nije dar kesho kutwa sasa natamani kweli nikutane na bambo nimnunulie bia najua kwa sasa maskani zao nahisi ni tabata bima au magengeni ila Sina contact zao mwenye kunipa ushauri wapi naweza kuwaona nikae nao niwaambie kwa jinsi gani nawakubali.
 
Acha kukutana nao ili kuwanunulia bia; watafutie connection wakafanye kzai yao ya uchekeshaji
 
Wape fulsa wapige hela? Siyo bia mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…