BOWTHRUSTER
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 389
- 156
Habari wanahistoria wa JF.Nilipata kusikia kuwa jengo la kituo cha Police kilichopo mtaa wa Msimbazi jijini Dar es Salaam hapo mwanzo kabla halijajengwa hilo kituo kilikuwepo mtaa huo huo wa Msimbazi, maeneo gani?