0767854945
Member
- Jul 5, 2013
- 74
- 2
Mwaka gani mkuu umemaliza form 4jamani,mimi nimetuma maombi wizara ya afya mwaka huu nina division two ya 18,nina B ya chemistry,D ya biology,C ya physics,pia masomo ya advantage mathematics nina B,english nina D,NIMEOMBA KUSOMA DIPLOMA KOZI YA UTABIBU(DIPLOMA IN CLINICAL MEDICINE),TATIZO LANGU HASA NI D YA BIOLOGY AMBALO NI SOMO LA MSINGI JE,NAWEZAKUCHAGULIWA WAKUU WA JF.
D ya ACSEE au CSEE?jamani,mimi nimetuma maombi wizara ya afya mwaka huu nina division two ya 18,nina B ya chemistry,D ya biology,C ya physics,pia masomo ya advantage mathematics nina B,english nina D,NIMEOMBA KUSOMA DIPLOMA KOZI YA UTABIBU(DIPLOMA IN CLINICAL MEDICINE),TATIZO LANGU HASA NI D YA BIOLOGY AMBALO NI SOMO LA MSINGI JE,NAWEZAKUCHAGULIWA WAKUU WA JF.
Nikumuomba tu Allah mkuu mi mwenyewe nina c ya bios na chem c engl d math f nimeomba co na medical labaratory technology ilo f la math ndo linaniumiza kichwa Ila mkuu usikonde Nikumuomba tu Allah Kwa ye ndo kila kitu2009 mkuu
D ya ACSEE au CSEE?
Nikumuomba tu Allah mkuu mi mwenyewe nina c ya bios na chem c engl d math f nimeomba co na medical labaratory technology ilo f la math ndo linaniumiza kichwa Ila mkuu usikonde Nikumuomba tu Allah Kwa ye ndo kila kitu
Mkuu jitahidi ufanye clearance bila hivyo itakuwa ngumu kukuchukua.D csee
Wakati mwingine Mungu anaonewa tu, hapo hakunan swalaah wala sala njia za kupitia zipo wazi, jiandae upya rudia mtihani uliopata F hakikisha unaweka nguvu zote kwenyue hilo somo moja, ukifaulu njia nyeupe.Nikumuomba tu Allah mkuu mi mwenyewe nina c ya bios na chem c engl d math f nimeomba co na medical labaratory technology ilo f la math ndo linaniumiza kichwa Ila mkuu usikonde Nikumuomba tu Allah Kwa ye ndo kila kitu
Hutaki advance mkuumm nmemalza 4m 4 mwka 2012, nna B ya biology, B ya chemistry na C ya physics, Je chuo kipi cha afya naweza kupata nafac?, pia kwa muda huu naweza kuapply chuo na kupata?, naomba msaada wenu wanaJF.
Hutaki advance mkuu
Advance nlikuwa napenda tena sana2, bt selection zmebadlisha dira ya maisha yangu, nimepangwa HGE, shule moja hv iko TUKUYU, ningeweza kwenda kubadlisha comb, lkn shule hiyo ina art pekee, swala la uhamisho cna referee, kwenda private sina uwezo, nikienda kusoma hiyo comb ntakuwa nadangaya Taifa coz haipo moyoni hata kodogo.
Pole sana kijana.Kwa sasa muda kuapply vyuo vya serikali umeisha labda private ambavyo ada yake ni kubwa sana.mungu akuongoze katika njia ya malengo yako uliyopangaAdvance nlikuwa napenda tena sana2, bt selection zmebadlisha dira ya maisha yangu, nimepangwa HGE, shule moja hv iko TUKUYU, ningeweza kwenda kubadlisha comb, lkn shule hiyo ina art pekee, swala la uhamisho cna referee, kwenda private sina uwezo, nikienda kusoma hiyo comb ntakuwa nadangaya Taifa Coz haipo moyoni hata kodogo.
jamani,mimi nimetuma maombi wizara ya afya mwaka huu nina division two ya 18,nina B ya chemistry,D ya biology,C ya physics,pia masomo ya advantage mathematics nina B,english nina D,NIMEOMBA KUSOMA DIPLOMA KOZI YA UTABIBU(DIPLOMA IN CLINICAL MEDICINE),TATIZO LANGU HASA NI D YA BIOLOGY AMBALO NI SOMO LA MSINGI JE,NAWEZAKUCHAGULIWA WAKUU WA JF.
mm nmemalza 4m 4 mwka 2012, nna B ya biology, B ya chemistry na C ya physics, Je chuo kipi cha afya naweza kupata nafac?, pia kwa muda huu naweza kuapply chuo na kupata?, naomba msaada wenu wanaJF.
Ukweli ni kwamba hautopata nafasi kwa kozi uliyoomba, na sababu ni hiyo D ya biology. Kwanini usiende Form Five PCM ambayo umefaulu vizuri?