Kwa anayejua kireno/kibrazil njoo utoe shule

Obrigado nami nahitaji kukijua kireno nitakupataje
mkuu ndio tunajifunza hapa '' kupataje'' tena.
mwenyewe sijui nimeamua kuchokoza ili nipate vianzio hapa. ila Muda mwingi nasikiliza nyimbo za kibrazili nafuatilia na maana. huwa naenjoy mbo hasa matamshi ya maneno.
 
Está bem podes continuar a me seguir as minhas mensagens e ganharás muitos vocabulários só que não podes sentir vergonha.
 
mkuu ndio tunajifunza hapa '' kupataje'' tena.
mwenyewe sijui nimeamua kuchokoza ili nipate vianzio hapa. ila Muda mwingi nasikiliza nyimbo za kibrazili nafuatilia na maana. huwa naenjoy mbo hasa matamshi ya maneno.
Jua kwamba kuna utofauti wa utamkaji wa baadhi ya maneno kati ya kireno chá Brazil na Portugal.
Na ikiwa utafuatilia utagundua hilo.
 
Uliza tu utajibiwa lakini ujue nitaelezea kiutu uzima kwa vile naona unaomuelekeo.
 
hola mis amigos como va tus dias ,a MI lado mi dia va mal como simple, pero estoy confia en Dios que nunca falla. disfruta la vida del mundo antes de morir porque la vida es pequeño por simple .adios
 
naona tu amigo, amigos, amigo, amigos, hebu muungwana mmoja anipe njia rahisi ya kuweza kujifunza kireno
 
Deixa o seu tempo e procura as pessoas que sabem falar.
 
Estamos muito silêncio aqui.

Aonde vocês estão?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…