Kwa anayejua kuhusu interview iliyofanyika tarehe 24/06/2011/

JASAM

New Member
Joined
Oct 20, 2011
Posts
3
Reaction score
0
Jamani naomba kujulishwa kwa yoyote mwenye taarifa ya interview iliyofanyika bot tarehe 24/06/2010 katuka nafasi ya it technician.
Ndugu wanajamii mnijuze
 
Mh! tangu mwaka jana ndiyo unaulizia sasa?. Labda haukuwa shotlisted. Wanaohusika watakujibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…