Geezzle JF-Expert Member Joined Jul 25, 2012 Posts 849 Reaction score 267 Sep 25, 2012 #1 Ni moja ya koz ambayo ningewish kuisoma,karibun kwa michango.
Wi-Fi JF-Expert Member Joined Aug 30, 2011 Posts 2,091 Reaction score 1,381 Sep 25, 2012 #2 hakikisha unasoma na kufaulu vizuri hesabu itakua vizuri zaidi kama utakua unasoma EGM!
Geezzle JF-Expert Member Joined Jul 25, 2012 Posts 849 Reaction score 267 Sep 25, 2012 Thread starter #3 Waweza fanya kaz ipi?!je future yake ipoje kbongobongo?!
TZ boy JF-Expert Member Joined Jan 11, 2012 Posts 629 Reaction score 183 Sep 25, 2012 #4 Yakwangu hiyo wewe niko EGM daily naiota uwiii ngoja nikatembeze PURE II sasa!!!