Kwa anayejua link ya kupata matokeo ya qt 2012 anisaidie, yametoka??

commited

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2012
Posts
1,624
Reaction score
871
habari zenu ndugu


samahani wadau kuna ndugu yangu ananisumbua kuwa matokeo yao ya qt ya mwaka jana 2012, yametoka anaomba nimuangalizie.
Sasa nimekwenda web ya necta hakuna kitu kama hicho, nauliza kuna mdau anajua jinsi ya kuyapata online anisaidie tafadhali


natanguliza shukrani sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…