Kwa anayejua maana ya kubemenda atujuze

Kwa anayejua maana ya kubemenda atujuze

cj21125

JF-Expert Member
Joined
May 12, 2013
Posts
3,358
Reaction score
3,107
Habari za leo wana-jf. Nakutana na hili neno "kubemenda" lakini mpaka sasa sijabahatika kujua maana yake. Kwa anayejua atujuze tafadhali. Asanteni.
 
Kubemenda ni kile kitendo cha mwanamke mwenye mtoto mdogo ambaye bado anategemea kunyonya kushika mimba nyingine. Matokeo yake ni ya kwamba yule mtoto ananyonya maziwa pamoja na homoni za kulelea mimba, sasa zile homoni zinazorotesha ukuaji na afya ya mtoto kwa ujumla. Kwa hiyo, mtoto aliyebemendwa anadumaa na kuwa na afya dhaifu mno.
 
Back
Top Bottom