S Sucker Member Joined Jul 7, 2021 Posts 42 Reaction score 22 Aug 12, 2021 #1 Kwa anayejua maana ya huu msemo " ulimwengu hadaa, binadamu shujaa"
The Icebreaker JF-Expert Member Joined Feb 11, 2018 Posts 22,278 Reaction score 65,817 Aug 18, 2021 #2 Huo msemo mbona kama umeugeuza? Dunia hadaa,ulimwengu shujaa.
The Garang JF-Expert Member Joined Jan 16, 2018 Posts 2,880 Reaction score 4,830 Aug 18, 2021 #3 Kuna mahala nliona maana yake.... Dunia Ina mambo mengi mabaya yahitaji mtu jasiri kuweza kuyashinda au kukabiliana nayo....
Kuna mahala nliona maana yake.... Dunia Ina mambo mengi mabaya yahitaji mtu jasiri kuweza kuyashinda au kukabiliana nayo....
mwandende JF-Expert Member Joined Feb 16, 2017 Posts 11,005 Reaction score 20,805 Jun 30, 2022 #4 Dunia hadaa ulimwengu shujaa. Hii maana yake ni kwamba, Dunia inadanganya na mwisho wa siku ulimwengu ndy utaibuka shujaa Usishindane na dunia tunapita tu. Fanya yalio mema. Sent using Jamii Forums mobile app
Dunia hadaa ulimwengu shujaa. Hii maana yake ni kwamba, Dunia inadanganya na mwisho wa siku ulimwengu ndy utaibuka shujaa Usishindane na dunia tunapita tu. Fanya yalio mema. Sent using Jamii Forums mobile app