Kwa anayejua nanna ya kufuta jina NACTE baada ya kuahirisha masomo anisadie

Choggagrandson

New Member
Joined
Jun 17, 2020
Posts
4
Reaction score
6
Jamani niliarisha masomo baada ya kupata MATATIZO ya KIAFYA saivi nataka nifanye application ili niende CHUO kingine nikasome Tena tatizo no kwamba CHUO nilicho kuwa nasoma wamegoma kufuta jina nisadieni jamani
 
Umejaribu ku apply imegoma.Kama chuo ni private ofcourse wanang'ang'ania sana.Nenda ofisi za kanda za Nacte kwa eneo ulilopo utasaidiwa.
 
Nenda chuo ulichodahiliwa awali na kuacha masomo, utahitajika kuandika barua ya kuacha chuo kwenda kwa mkuu wa chuo,
chuo kitajibu ombi lako kwa barua hiyo barua ya majibu utapeleka nacte,
ndipo watakapoweza kukufungulia ili uweze kuomba upya chuo kingine unachotaka.

kimbizana kabla dirisha halijafungwa bila hivyo hutaweza kuapply kwakua mfumo bado unakutambua wewe ni mwanafunzi wa chuo ulichodahiliwa mwanzo na kuacha masomo kabla ya kimaliza.
 
Jamani niliarisha masomo baada ya kupata MATATIZO ya KIAFYA saivi nataka nifanye application ili niende CHUO kingine nikasome Tena tatizo no kwamba CHUO nilicho kuwa nasoma wamegoma kufuta jina nisadieni jamani
Ulifutiwa usajili?Kam uifutiwa niambie na Mimi ulifanya hatua zipi maan Mimi Kuna chuo hawataki kunifutia usajili na barua nimeandika
 
Nenda chuo ulichodahiliwa awali na kuacha masomo, utahitajika kuandika barua ya kuacha chuo kwenda kwa mkuu wa chuo,
chuo kitajibu ombi lako kwa barua hiyo barua ya majibu utapeleka nacte,
ndipo watakapoweza kukufungulia ili uweze kuomba upya chuo kingine unachotaka.

kimbizana kabla dirisha halijafungwa bila hivyo hutaweza kuapply kwakua mfumo bado unakutambua wewe ni mwanafunzi wa chuo ulichodahiliwa mwanzo na kuacha masomo kabla ya kimaliza.
Mimi barua nimeandika chuo yapata mwezi Sasa hawanijibu chochote na nacte nikienda pia wakaniambia hili swala wao haliwahusu hadi chuo wenyewe naomba msaada kwa anayejua nichukue hatua gani
 
Back
Top Bottom