U ufumawicha JF-Expert Member Joined Mar 16, 2014 Posts 504 Reaction score 209 Jul 21, 2014 #1 Nijulisheni ada pamoja na michango ni sh.ngapi kwa certificate coz in clinical medicine vyuo vya serikali.Mdogo wangu kachaguliwa sumbawanga institute.
Nijulisheni ada pamoja na michango ni sh.ngapi kwa certificate coz in clinical medicine vyuo vya serikali.Mdogo wangu kachaguliwa sumbawanga institute.
S SAM nicheck Member Joined Oct 25, 2012 Posts 56 Reaction score 13 Jul 21, 2014 #2 Unaweza ingia kwenye website yao uka download admission letter au joining instruction utapata vitu vyote hivyo
Unaweza ingia kwenye website yao uka download admission letter au joining instruction utapata vitu vyote hivyo
C Chizy Za kitaa Senior Member Joined Jan 7, 2014 Posts 167 Reaction score 13 Jul 21, 2014 #3 Hebu badilisha kwa hyo title "haraka"...