kwa anayejua online test ya starndard charterd Bank

kwa anayejua online test ya starndard charterd Bank

Blessed Keinerugaba

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2011
Posts
4,754
Reaction score
4,746
inafanyikaje kwa yule an nifafahamu?nimepigiwa simu na wao na wametakanifanye hyo test but sijaona link ya kufika mwenye ufahamu anijuze tafadhali!
 
nenda kwenye sehemu ya graduate,chagua coperate banking /tanzania ndo itakubali ,interview ya kwanza ni numerical 20 qns per 20 min,ukifaulu unaingia knowledge,then phone interview,oral
jitahidi unaweza fanikiwa ndugu yangu mm wakati na maliza undergraduate niliishia kati wakanitumia mail kuwa unsuccesfull ,ila washkaji walipata wengine walipelekwa mpaka abroad kufanya training
 
Hata mi nilishawah kufanya, bt ckufanikiwa. Fungua website yao then fuata maelekezo kwny careerz
 
Back
Top Bottom