nenda kwenye sehemu ya graduate,chagua coperate banking /tanzania ndo itakubali ,interview ya kwanza ni numerical 20 qns per 20 min,ukifaulu unaingia knowledge,then phone interview,oral
jitahidi unaweza fanikiwa ndugu yangu mm wakati na maliza undergraduate niliishia kati wakanitumia mail kuwa unsuccesfull ,ila washkaji walipata wengine walipelekwa mpaka abroad kufanya training