WAKUNJOMBE
JF-Expert Member
- Dec 27, 2010
- 615
- 624
Mkuu katika mfano wako nadhani unamaanisha mtu alikuwa cashier baadae akawa confirmed kama cashier. Kisha mtu huyo akapandishwa cheo na kuwa accountant na akawa katika probation (siyo prohabation) ya miezi mitatu na baada ya miezi hiyo mitatu akawa confirmed kama accountant.Nizipi haki zako pindi ukipandishwa cheo au kutoka nafasi ya chini kwenda nafasi ya juu bila ongezeko la mshara wala grade..
mfano..ulikuwa cashier now wana kukomfemi kama accountant
then unapewa prohabation ya miezi mitatu then wanakukomfirm
halafu kwenye barua wameandika all terms and conditions remain the same
Je nikigoma kusaini barua watanifanyaje..?
Asanteni
Nihivi mkuuMkuu katika mfano wako nadhani unamaanisha mtu alikuwa cashier baadae akawa confirmed kama cashier. Kisha mtu huyo akapandishwa cheo na kuwa accountant na akawa katika probation (siyo prohabation) ya miezi mitatu na baada ya miezi hiyo mitatu akawa confirmed kama accountant.
Katika hali ya kawaida haiwezekani
cashier akawa confirmed kama accountant kisha accountant huyo ambaye ameshakuwa confirmed akapewa tena probation ya miezi mitatu kisha anakuwa confirmed tena. Nadhani umenipata.