Soma vizuri....siyo chanjo naongelea vyeti/kadiNenda sehemu yoyote wanayochanjwa utachanjwa.Mimi nilienda Temeke hospital nikadanganya kuwa nina Pumu nikachanjwa fasta sana bila kikwazo chochote kile.Ni wewe tu.
Kwanini sehemu zingine awatoi sasaMuhimbili wanatoa moja kwa moja
Wanatoa vyeti pia.Soma vizuri....siyo chanjo naongelea vyeti/kadi
Kwani Chanjo haizuii Corona bila kadi? Kama umechanja si basi Kiongozi?Tuna zaidi ya wiki sasa tangu tuchanjwe chanjo ya COVID19 kwa mbwembwe sana huku makao makuu ya nchi lakini mpaka sasa hakuna taarifa ya uhakika juu ya lini na kwa njia gani tutapata hizo kadi za chanjo.
Nikiuliza pale Benjamini Mkapa Hosp naambiwa mara tunasubiri za online mara tunasubiri Wizara itatuma, kwa kifupi hawaeleweki.
Nimeshaahirisha safari yangu ya nje mara mbili sasa sababu sina kadi. Ni huzuni kubwa
Najiuliza hivi Wizara ilikuwa inategemea nini kuleta chanjo nyingi kadi chache au kadi nazo mpaka watupe msaada pia?
Nawasilisha
tupo kuzisaini hapa punguza wenge utapewa kadi yako mfumo wa BVr unasumbua sumbuaTuna zaidi ya wiki sasa tangu tuchanjwe chanjo ya COVID19 kwa mbwembwe sana huku makao makuu ya nchi lakini mpaka sasa hakuna taarifa ya uhakika juu ya lini na kwa njia gani tutapata hizo kadi za chanjo.
Nikiuliza pale Benjamini Mkapa Hosp naambiwa mara tunasubiri za online mara tunasubiri Wizara itatuma, kwa kifupi hawaeleweki.
Nimeshaahirisha safari yangu ya nje mara mbili sasa sababu sina kadi. Ni huzuni kubwa
Najiuliza hivi Wizara ilikuwa inategemea nini kuleta chanjo nyingi kadi chache au kadi nazo mpaka watupe msaada pia?
Nawasilisha
Mwenzio kakuambia anataka kusafiri! Kwani mwenzetu hujui kuwa kuna nchi bila kadi kuingii??Kwani Chanjo haizuii Corona bila kadi? Kama umechanja si basi Kiongozi?