Kwa anayejua utaratibu wa Dispora kupata vitambulisho vya taifa

Kwa anayejua utaratibu wa Dispora kupata vitambulisho vya taifa

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
7,823
Reaction score
10,857
Nasikia hata Tanzania utaratibu wa vitambulisho vya taifa haueleweki kwa sasa kuna watu wanapewa namba lakini card hazitoki. Kwa dispora hatujui utaratibu ukoje ! Najiuliza kwanini balozi waweze kufanya passport lakini washidwe vitambulisho vya taifa?

Kama kuna mtu anajua utaratibu naomba atueleze. Hili swala la vitambulisho vya taifa inaelekea walarushwa wanatafuta njia ya kulifanya liwe zoezi la kujuana na kupendeleana ili wapate posho zao hapa. Likiwa automatic na rahisi wanaona rushwa hawataweza kupata. Lakini wanarudisha nchi nyuma sana sana
 
Back
Top Bottom