Akili zangu hazipo sawa
Senior Member
- Apr 23, 2020
- 160
- 119
.ah ila kusoma soft copy ni tabu aiseeGoogle mkuu utapata unavyotaka
Si unaenda kuprint kama huwez kusoma softcopy.ah ila kusoma soft copy ni tabu aisee
.Ah sawsaw sema uku wenye mashine wanapenda pesa et kuprint page moja bukuSi unaenda kuprint kama huwez kusoma softcopy
.Njombe mkuuuUpo mkoa gani mkuu
Labda nikupe namba ya mtu anayeuza vitabu awe anakutumia.Njombe mkuuu
.Naomba mkuuu kwa kweliLabda nikupe namba ya mtu anayeuza vitabu awe anakutumia
Check pm.Naomba mkuuu kwa kweli
.pwCheck pm
.NATAKA ANGALAU NIPATE MAARIFA YA KUANZIA NATAKAPO MALIZA ELIMU YANGUMkuu unataka kutumia knowledge ya vitabu kuanza biashara au kuendeleza biashara?
Kila la kheri
Kuna duka linaitwa Elite books Mbezi Beach. Kwa kuanzia wacheck instagram uwaulize utaratibu wao wa kutuma vitabu kwa mteja mkoani. Kama uko serious hauwezi kushindwa. Vizuri uwe na specific titles unapoulizia vitabuNaamini mambo ni powa, samahani kwa yeyote anayejua ambapo duka la vitabu vya kujisaidia katika nyanja zote za maisha,namaanisha zile self help books, kwa MTU anaejua maduka au maktaba zinazitoa vitabu hivi.
Msaada wako tafadhali.
Sijui kwanini naamini wasomaji nguli wa vitabu hawasomi soft books. Kama kweli kitabu flani kina thamani kwako kwanini usiwekeze kwa kukinunua (hard copy)?HATUA YA KWANZA: Nunua ebook-reader. Kindle Papewhite au inayofanana nayo.
HATUA YA PILI: Pata vitabu vya kununua na vya bure. Vijaze kwenye ebook-reader yako.
Ni njia ya gharama nafuu zaidi na yenye manufaa.
Sijui kwanini naamini wasomaji nguli wa vitabu hawasomi soft books. Kama kweli kitabu flani kina thamani kwako kwanini usiwekeze kwa kukinunua (hard copy)?
Ni imani tu, maana mimi pia soft copies zinanishinda, huenda najipa moyo tu kwa hiyo imani yangu ili ninunue vitabu. Huwa unasoma mwanzo mwisho na unarudia tena na tena vitabu vizuri kupitia soft copy?Ni imani yako kama ulivyosema. Katiba ya jamhuri inailinda haki yako ya kuamini unavyopenda. Lakini naamini unajua kutofautisha imani na uhalisia. Sawa?
Sawa?
Ni imani tu, maana mimi pia soft copies zinanishinda, huenda najipa moyo tu kwa hiyo imani yangu ili ninunue vitabu. Huwa unasoma mwanzo mwisho na unarudia tena na tena vitabu vizuri kupitia soft copy?
HATUA YA KWANZA: Nunua ebook-reader. Kindle Papewhite au inayofanana nayo.
HATUA YA PILI: Pata vitabu vya kununua na vya bure. Vijaze kwenye ebook-reader yako.
Ni njia ya gharama nafuu zaidi na yenye manufaa.