moondampwani
JF-Expert Member
- Dec 4, 2014
- 535
- 169
Siku za hivi karibuni kumekuwa na uhamasishaji mkubwa sana juu ya kilimo cha vanilla hapa nchini Tanzania, wahamasishaji wanadai kuwa zao la vanilla ni zao lenye faida na lina utajiri mkubwa sana tena wanasema ni zaidi ya madini.
Mimi binafsi nashawishika kuingia kwenye Kilimo hicho ila tu naomba uzoefu kwa anaejua ukweli kuhusu kilimo hicho hasa ukizingatia gharama za Kilimo cha vanilla ni kubwa sana.
Natanguliza shukran.
Mimi binafsi nashawishika kuingia kwenye Kilimo hicho ila tu naomba uzoefu kwa anaejua ukweli kuhusu kilimo hicho hasa ukizingatia gharama za Kilimo cha vanilla ni kubwa sana.
Natanguliza shukran.