moondampwani
JF-Expert Member
- Dec 4, 2014
- 535
- 169
Wow tiririka mkuu! Wengi tunapata madini muhimuIko hivi, zao hili hulimwa sehemu zenye baridi, mfano, Bukoba, Iringa, Njombe na Mbeya,
Zao hilo huchukua miezi 18 tangu limepandwa mpaka kukomaa, na wakati wote huhitaji mvua za kutosha.
kwa kagera hupwandwa chini ya migomba ili zao hilo lipate kivuli na unyevu nyevu wakati wa kiangazi.
Vip unataka na maelezo ya uvunaji, masoko, na changamoto zake pia na faida zake mkuu, ili niendelee kutililika
Kuna siku nilisikia wanasema linachukua miezi mitatuIko hivi, zao hili hulimwa sehemu zenye baridi, mfano, Bukoba, Iringa, Njombe na Mbeya,
Zao hilo huchukua miezi 18 tangu limepandwa mpaka kukomaa, na wakati wote huhitaji mvua za kutosha.
kwa kagera hupwandwa chini ya migomba ili zao hilo lipate kivuli na unyevu nyevu wakati wa kiangazi.
Vip unataka na maelezo ya uvunaji, masoko, na changamoto zake pia na faida zake mkuu, ili niendelee kutililika
Iko hivi, zao hili hulimwa sehemu zenye baridi, mfano, Bukoba, Iringa, Njombe na Mbeya,
Zao hilo huchukua miezi 18 tangu limepandwa mpaka kukomaa, na wakati wote huhitaji mvua za kutosha.
kwa kagera hupwandwa chini ya migomba ili zao hilo lipate kivuli na unyevu nyevu wakati wa kiangazi.
Vip unataka na maelezo ya uvunaji, masoko, na changamoto zake pia na faida zake mkuu, ili niendelee kutililika
Hizo ni stori za vijiweni mkuuKuna siku nilisikia wanasema linachukua miezi mitatu
Hizo ni stori za vijiweni mkuu
Vanila inastawi maeneo ya Morogoro, Kagera na tukuyu.. Inahitaji mvua za kutosha.. Na milimanj ndio inastawi vizuri..
Muda ni miaka almost miwili... Na utunzaji wake ni gharama coz inahitaji rasilimali watu sana...
Siku za hivi karibuni kumekuwa na uhamasishaji mkubwa sana juu ya Kilimo cha vanilla hapa nchini Tanzania, wahamasishaji wanadai kuwa zao la vanilla ni zao lenye faida na lina utajiri mkubwa sana tena wanasema ni zaidi ya madini, Mimi binafsi nashawishika kuingia kwenye Kilimo hicho hicho ila tu naomba uzoefu kwa anaejuwa ukweli kuhusu kilimo hicho hasa ukizingatia Gharama Za Kilimo cha vanilla ni kubwa sana.
Natanguliza shukran!!!
Kilimo cha Vanilla nchini Tanzania
Zao hili lilianza kuingia nchini kutoka Uganda mnamo mwaka 1954 kupitia kwa mkulima mmoja wa kijiji cha Kiilima wilaya ya Bukoba Vijijini. UTANGULIZI Zao la vanilla ni moja ya zao la viungo ambalo asili yake ni Kusini Mashariki ya Mexico na sehemu nyingine za Amerika ya Kati. Vanilla hulimwa...www.jamiiforums.com
Naomba kufahamu bei ya kilo moja ya vanila inauzwa sh. ngapi?
Umofya kwenu wadau humu ndani. Twende kwenye maada ! Ni hivi wakuu mimi nipo huku Njombe na ningependa niwashirikishe juu ya uvumi wa bei ya zao tajwa hapo juu,kuna kikundi cha watu huku kimejitanabaisha kuwa ni taasisi(jina kapuni)kinapita kikiwahamasisha wakulima kulima zao la vanila wakidai...www.jamiiforums.com
Pitia na hapa
Kila lakheri.