Kwa anayekijua kilimo cha kitaalam, Bashe yuko sahihi

Hennes kolon

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2023
Posts
673
Reaction score
1,294
Kama hekta moja ni 16mil na points kadhaa hivi ,budget hiyo iko sahihi na wamejitahidi Sana kuibana . Mfano tu; kwa kilimo cha kitaalam cha green house ,green house ya robo ekari yaani ukubwa wa mita 35 kwa 35, budget yake ni mil 4 hiv na vichenji, Nina jamaa zangu kadhaa walianzisha kilimo hiki Cha green house ,maandalizi yote ya green house ilikuwa inawagharimu 4mil .

Sasa piga hesabu kwa 1hakta =2.5ekari =tsh!?

=2.5×4mil./0.25 tshs.
=Kiufupi ni zaidi ya 32mils tsh.

Na hata Kama ingekuwa ni ekari moja ,kuanzisha green house ingekuwa ni 4mil×4 =16mils tsh.

kinacholeta shida hapa ni mtu anahoji mil 16 ,na hajawahi kufanya mladi wa kilimo cha kitaam na kuhoji zitarudi lini!? ikiwa mtu analima greenhouse ya nyanya ya robo ekari kwa budget ya 4mils na anapata faida ya kutosha tu na ku expand project, itashindikana nn kwenye hiyo hekta moja au ekari moja?

Kilimo cha kitaalam kinalipa Sana tu, na very portable kukifanya .yaani unaingiza pesa yakutosha kwenye kaeneo kidogo na hutumii nguvu nyingi.

IMG-20230130-WA0002.jpg
IMG-20230316-WA0002.jpg
IMG-20230506-WA0008.jpg
 
Acha uchawa, kwa nini huo utaalamu usielekezwe kwa wakulima waliopo wanaojihusisha na kilimo huko vijijini, badala yake mnaokota watu na kuanza kufanya maonyesho ya kilimo kwa kuteketeza pesa za umma.
 
Wewe unazungumzia green house
Wapi Bashe alisema kuna green house zitajengwa??
 
Unaweza ukanipatia connection na wataalam wa kuandaa Greenhouse ya Robo heka kwa Tsh 4,000,000/= ?

Nna wasi nawe kuna tafiti hujafanya vzr kujua gharama za Greenhouse.
 
Kama hekta moja ni 16mil na points kadhaa hivi ,budget hiyo iko sahihi na wamejitahidi Sana kuibana . Mfano tu; kwa kilimo cha kitaalam cha green house ,green house ya robo ekari yaani ukubwa wa mita 35 kwa 35, budget yake ni mil 4 hiv na vichenji, Nina jamaa zangu kadhaa walianzisha kilimo hiki Cha green house ,maandalizi yote ya green house ilikuwa inawagharimu 4mil .

Sasa piga hesabu kwa 1hakta =2.5ekari =tsh!?

=2.5×4mil./0.25 tshs.
=Kiufupi ni zaidi ya 32mils tsh.

Na hata Kama ingekuwa ni ekari moja ,kuanzisha green house ingekuwa ni 4mil×4 =16mils tsh.

kinacholeta shida hapa ni mtu anahoji mil 16 ,na hajawahi kufanya mladi wa kilimo cha kitaam na kuhoji zitarudi lini!? ikiwa mtu analima greenhouse ya nyanya ya robo ekari kwa budget ya 4mils na anapata faida ya kutosha tu na ku expand project, itashindikana nn kwenye hiyo hekta moja au ekari moja?

Kilimo cha kitaalam kinalipa Sana tu, na very portable kukifanya .yaani unaingiza pesa yakutosha kwenye kaeneo kidogo na hutumii nguvu nyingi.

View attachment 2618009View attachment 2618020View attachment 2618021
Mbona picha Sio za tz 🇹🇿
 
Back
Top Bottom