All the best mkuu. Najua as a kid you need to know both parents.
Mi nashauri angetumia hiyo janja..Kama alivyosema Mtambuzi. Ninauhakika angewapata tu dada zake na hata baba yake..maana wabongo wanapenda kujipendekeza kwa mtu mwenye fweza.
du! Noma.
Du pole Master Jay km Mama Mzazi bado yupo hawezi kukusaidia hata kijiji alichotokea huyo askari? ~kuna sababu ndo maana walipotezana, ila mim sipendi kuingilia huo ugomvi wao. Na isingekuwa vema kulizungumzia hilo hapa janvin. Embu tafakari kma ni ww hujawah kumjua au kumwona hata kwa picha ndugu wa upande wa baba hata cku moja. Si ntakufa bila kumjua yeyote jamani? INAUMA SANA ..............:
Kama huyu jamaa angetangaza kwamba ni tajiri mkubwa hapa nchini na anamiliki viwanda kadhaa pamoja na majengo makubwa huko Masaki jijini Dar na Njiro jijini Arusha, lakini hamjui baba yake ila tu aliwahi kusimuliwa kwamba baba yake anaitwa CHARLES MIANO, hakika saa hizi wangeshajitokeza wana ukoo wa the so called MIANO haraka sana wakiwepo hata wale wa undugu wa kuunganisha kwa gundi............... chezea utajiri wewe.....................!
Pole sana mkuu. Jaribu pia kuweka hili Tangazo kwenye blogu ya Michuzi. Watu wengi sana ni wapenzi wa blogu hiyo.
Kama huyu jamaa angetangaza kwamba ni tajiri mkubwa hapa nchini na anamiliki viwanda kadhaa pamoja na majengo makubwa huko Masaki jijini Dar na Njiro jijini Arusha, lakini hamjui baba yake ila tu aliwahi kusimuliwa kwamba baba yake anaitwa CHARLES MIANO, hakika saa hizi wangeshajitokeza wana ukoo wa the so called MIANO haraka sana wakiwepo hata wale wa undugu wa kuunganisha kwa gundi............... chezea utajiri wewe.....................!
Nakupa pole sana Joseph.
Najuwa huna makosa lakini ukumbuke hizo ndio hasara za zinaa. Nawe usijiingize huko na wanaosoma hii habari yako waelewe hasara hizi zinatokana na uzinifu.
kuna mambo ukiyafatilia unaweza kuwa unamtusi mama yako. Na huku Moshi laana ni nje nje.
Pole ndugu yetu. Jaribu kutumia kipindi cha search line cha Radio Free Africa 0655 782788 naamni utafanikiwa.