Kwa anayemjua mke wangu mama Gembe wa Mbagala amwambie nisimkute nyumbani kwa usalama wake

Kwa anayemjua mke wangu mama Gembe wa Mbagala amwambie nisimkute nyumbani kwa usalama wake

mbagokizega

Senior Member
Joined
Oct 22, 2016
Posts
111
Reaction score
297
Nipo hapa Kituo cha afya Kiburugwa na nina majibu ya vipimo mkononi, haki ya Mungu mke wangu kanidhalilisha.

Ni hivi, mke wangu ni mjamzito wa miezi 2 na mimba yake imekuwa ikisababisha tugombane Mara kwa Mara na hali hiyo ilinifanya nami ni react kwa kuamua kuchelewa kurudi nyumbani na kupunguza muda wa kukaa nyumbani na Mara nyingine kumletea za kuleta.

Basi juzi tulikuwa na mtafaruku mkubwa kiasi cha kufikia kutosemeshana ndani ya nyumba na ni kipindi hiko nilichokuwa najisikia kuumwa maumivu makali chini ya kitovu ndipo rafiki yangu anayefanya kazi hapa kituo cha afya akanishauri nipime mkojo pengine nna U.T.I.

Basi asubuhi ya Leo nimeamka mapema ili niende kupima na kwakuwa kituo hiki kinakuwa na foleni nikaamua kukojoa mkojo kidogo katika kikopo sasa wakati najiandaa kuvaa kumbe mke wangu alimwaga ule mkojo wangu na kuweka mkojo wake.

Jamaa aliyenipima hapa anasema vipimo vinaonesha nina mimba ya miezi miwili, tikarudia tena na tukamuita daktari wa kituo majibu ni hayohayo kwamba mi eti nina mimba ya miezi miwili, mi manesi na wahudumu wa hapa wananijua vizuri najua watanitangaza tu huko mtaani.

KWELI mimi wa kunidhalilisha hiviii? Mimi kweli nna mimba?

Aisee sikubali.
 
Stori ya kutunga hii maana inafanana na vichekesho vya mizengwe.

Juzi tu Mkwere alionyesha ana ujauzito na aliyempima ni Mkongo.

Wachangiaji hakuna ukweli hapa.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2][emoji23][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Mbona kipimo cha U. T. I na mimba ni tofauti?Bila shaka Hii ni story ya kusadikika
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] kama ubakitambi mkuu Ndo balaa kabisa
 
nipo hapa kituo cha afya kiburugwa na Nina majibu ya vipimo mkononi.haki ya Mungu mke wangu kanidharirisha.

ni hivii mke wangu ni mjamzito wa miezi 2 na mimba yake imekuwa ikisababisha tugombane Mara kwa Mara na hali hiyo ilinifanya nami ni react kwa kuamua kuchelewa kurudi nyumbani na kupunguza muda wa kukaa nyumbani na Mara nyingine kumletea za kuleta.

basi juzi tulikuwa na mtafaruku mkubwa kiasi cha kufikia kutosemeshana ndani ya nyumba na ni kipindi hiko nlichokuwa najisikia kuumwa maumivu makali chini ya kitovu ndipo rafiki yangu anayefanya kazi hapa kituo cha afya akanishauri nipime mkojo pengine nna U.T.I

basi asubuhi ya Leo nmeamka mapema ili niende kupima na kwakuwa kituo hiki kinakuwa na foleni nkaamua kukojoa mkojo kidogo ktk kikopo sasa wakati najiandaa kuvaa kumbe mke wangu alimwaga ule mkojo wangu na kuweka mkojo wake.

jamaa aliyenipima hapa anasema vipimo vinaonesha Nina mimba ya miezi miwili,tikarudia tena na tukamuita daktari wa kituo majibu ni hayohayo kwamba mi eti nna mimba ya miezi miwili.mi manesi na wahudumu wa hapa wananijua vizuri najua watanitangaza tu huko mtaani.

KWELI Mimi wa kunidharirisha hiviii??
Mimi kweli nna mimba??.

aisee sikubali[/QUOTE

Unayo tena hiyo mimba ni ya kwangu...
 
Back
Top Bottom