Kwa anayemjua mke wangu mama Gembe wa Mbagala amwambie nisimkute nyumbani kwa usalama wake

Stori nzur
Lkn kama mkojo ni kwa ajilj ya uti majibu ya mimba inakuaje wakati mimba inakipimo chake
 
nimechekaaaaaaaaa!!!!!! hii ni stori mimba ya miezi 2 kipimo cha mkojo haineshagiiii
 
Hivi mtoa mada kwanini hiyo bangi uliyoivuta hujaanika?
 

There's a truth behind every story ... And people make mistakes .. Get over it . He's right .
 
Mkeo hapendagi ujinga ujinga kabisa.
 
Pole sana ndg.
Pitia gengeni ujinunulie udongo, ndimu na ubuyu.

Hayo ni maisha tu ndo vipimo vishatoka hivyo
 
Pole sana ndg.
Pitia gengeni ujinunulie udongo, ndimu na ubuyu.

Hayo ni maisha tu ndo vipimo vishatoka hivyo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…