Kwa anayemjua mke wangu mama Gembe wa Mbagala amwambie nisimkute nyumbani kwa usalama wake

Pole vumilia....imebaki miezi saba tu kujifungua. [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
 
mkuu mbagokizega ungetoa credit kwa mizengwe kwa kudukua kazi yao.
 
ukifatilia fb account yangu utaikuta post hii nimepost wiki tatu nyuma so ukiniambia niwape appreciation wasanii wa mizengwe nafikiria kwamba wao wanipe appreciation hizo coz nmeanza kupost hili na mengine mengi.labda kwakuwa mi sina forum
 
Watu mba roho mbaya !sasa mlitaka iwe kweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…