Jamani kwa majina naitwa Mussa Omary. Ni mwalimu nafundisha sm Mjimpya wilaya ya Tandahimba. Tangu mwezi mei mwaka jana nimeamua kuwa mjasiriamali kwa kufungua banda la biashara ya kuuza simu na kiukweli mambo yanaenda vizuri. Kiufupi ni kuwa namtafuta mtu ambae ni mfanyabiashara kama yangu au vifaa vya umeme ili niweze kuwa kama tawi lake la kibiashara. Natambua wazi kuwa kuanza biashara mpaka kupata mafanikio ukiwa pekee yako ni ishu kulingana na hali ya maisha ya sasa.tafadhari wafanyabiashara aliye tayari naomba awasiliane nami kwa email yangu, mchiwalamussa@ymail.com au simu no 0713 584842 au 0788 258712