Kwa anayepafahamu Buhemba Butiama

Kwa anayepafahamu Buhemba Butiama

lyajody

Senior Member
Joined
Aug 16, 2024
Posts
145
Reaction score
196
Ndugu zangu ninampango wa kwenda kufanya kazi Fulani huko na ninatamani nielewe mazingira Kwa mwenyeji vip maisha ya huko , watu wake ? Gharama za maisha zikoje
 
Ndugu zangu ninampango wa kwenda kufanya kazi Fulani huko na ninatamani nielewe mazingira Kwa mwenyeji vip maisha ya huko , watu wake ?, gharama za maisha zikoje
Karibu ukifika wenyeji wanatabia yakuzoea watu hovyo epuka hilo.
Kuwa na mipaka... Nje ya hapo fresh tu.
 
Ndugu zangu ninampango wa kwenda kufanya kazi Fulani huko na ninatamani nielewe mazingira Kwa mwenyeji vip maisha ya huko, watu wake je, vp kuhusu gharama za maisha zikoje?
 
Ww nenda kafanye kazi usiibe tu wake za wenyewe
Mambo mengine mbona fresh tu.
WAtu wa huko wako poa tu - Wazanaki
 
Vipi gharama za maisha?
Maisha ya Buhemba kwa ujumla ni ya kawaida. Hali ya hewa kwa sasa ni mvua chache. Vyakula vya nafaka ni vya kutosha, Nyama na Maziwa ni kwa wingi sana sana. Samaki kiasi wanapatikana kutokea Musoma. Wenyeji ni Wazanaki, jiepushe kudate wake/waume za watu au watoto wa wenyeji bila kuingiliana na wenyeji.

Jieupushe na Ugomvi au malumbano yasiyo na tija. Be calm uta injoy sana.

Mji upo Karibu na Musoma na Butiama pia. Sasa unaingia Mara Murra Gangamara acha kuria ria!
 
Magunga buhemba ndo naenda tajitahid kujiepusha na waume za watu
 
Ndugu zangu ninampango wa kwenda kufanya kazi Fulani huko na ninatamani nielewe mazingira Kwa mwenyeji vip maisha ya huko , watu wake ? Gharama za maisha zikoje
Buhemba maisha ni rahisi sana japo ni bush kiasi.
Vyakula bei nafuu sana ila shida usafiri ni vijigari vidogovidogo.

Sehemu za kula Bata hakuna mpaka upande hiace au probox uende musoma mjini na msoma mjini napo sehemu zenyewe za Bata hazizidi nne na hakujachangamka kumepoa sana.
Mji umepoa kama unapenda kulima labda utafaidi maeneo utapata maana watu wa kule wavivu kulima na wachache wanaolima wanaolima kienyeji sana ila kama haulimi mvua nazo kero.

Samaki utakula sana.

Watu wake wazanaki ndio wengi wanawake warahisi mno ila wachafuwachafu .

Urahisi wa gharama ni kwenye vyakula tu
 
Maisha ya Buhemba kwa ujumla ni ya kawaida. Hali ya hewa kwa sasa ni mvua chache. Vyakula vya nafaka ni vya kutosha, Nyama na Maziwa ni kwa wingi sana sana. Samaki kiasi wanapatikana kutokea Musoma. Wenyeji ni Wazanaki, jiepushe kudate wake/waume za watu au watoto wa wenyeji bila kuingiliana na wenyeji.

Jieupushe na Ugomvi au malumbano yasiyo na tija. Be calm uta injoy sana.

Mji upo Karibu na Musoma na Butiama pia. Sasa unaingia Mara Murra Gangamara acha kuria ria!
Je ni kijijini sana au pamechangamka?
 
Wazanaki hata ugomvi hawawezi labda uchawi
 
Buhemba ilipaswa kuwa kama Dubai au Joberg kwa sbabu ni eneo lilikuwa na dhahabu nyingi sana.
SErikali yetu haiangalii maendeleo mapana ya wananchi, wale Makaburu hata kuweka lami tokea Mkautano hadi Magunga wakashindwa. Wakachota utajiri wakaacha mashimo wakaondoka zao. Mkapa bwana.
Anyway hapo Magunga panachimbwa dhahabu hivyo inapachangamsha.

Safari njema katika na karibu Magunga, fanya mazoezi ya kula kichuri Mura
 
Unataka kujua kitu gani exclactly? Niliwahi kuishi huko miaka ya 2004 though sikukaa sana. Hakuna tofauti na Butiama kwa mwalimu Nyerere. Unakwenda kufanya kazi gani ma utakaa muda gani, nini unapenda na nini hukipendi; fafanua hayo kwanza ndio tukisaidie
 
Siwez kula kichuri my dear
 
Unataka kujua kitu gani exclactly? Niliwahi kuishi huko miaka ya 2004 though sikukaa sana. Hakuna tofauti na Butiama kwa mwalimu Nyerere. Unakwenda kufanya kazi gani ma utakaa muda gani, nini unapenda na nini hukipendi; fafanua hayo kwanza ndio tukisaidie
Naenda kufanya kazi hospital kama clinical officer , nitafanya Kwa miezi kadhaa kulingana na mkataba,sipendi kuishi Mahali ambapo ni kijijini sana ambapo Hadi fisi na wanyama wakali wanaishi pia usafiri wa shida ,sehemu za starehe hakuna, naogopa ushirikina na sipendi kufatiliana kimaisha.vp gharama za nyumba za kupanga?
 
Wakati mgodi wa Buhemba unafanya kazi, gharama za nyumba zilikua juu kidogo; usafiri to Musoma mjini was 👍 though sio muda wote; as I said, ile ni ardhi ya Wazanaki lakini na Wakulya wapo wa kutosha; mambo ya kamati (uchawi ) sijui sana and hence I can't comment it but sio mbali sana na Musoma mjini
 
Kumbe mgodi haufanyi kazi?
 
Unataka kujua kitu gani exclactly? Niliwahi kuishi huko miaka ya 2004 though sikukaa sana. Hakuna tofauti na Butiama kwa mwalimu Nyerere. Unakwenda kufanya kazi gani ma utakaa muda gani, nini unapenda na nini hukipendi; fafanua hayo kwanza ndio tukisaidie
Kazi yake tena na muda wa kuishi ? Mbona nadhani hayo ni personal issues? Yeye ametaka kujua pakoje inatosha ila aliamua kujianika fresh tu
 
Ndugu zangu ninampango wa kwenda kufanya kazi Fulani huko na ninatamani nielewe mazingira Kwa mwenyeji vip maisha ya huko , watu wake ? Gharama za maisha zikoje
Zamani kulikuwa na kambi ya JKT alikuwa KONTAWA MLay....baadae pakawa na machimbo ya dhahabu ...ambapo kuna mwaka fedenge wa kubwa wakapiga gold kwa kutumia ndege....kwa sasa kulikuwa na kimgodi uchwara lakini kina bell dumper....kwa pempeni kuna wachimbaji wadogowadogo wa dhahabu na angalau rizki wanapata.......
ukienda buhemba ulizia zerozero then mtafute Chui huyu ni muuzaji wa gongo...utapata sehemu ya kulala kula na hata mengineyo kiaina ....kichuri utapata,,,watu ni waungwana wana roho nzuri ila ukizingua unaweza kula mapanga kimtindo.
 
Back
Top Bottom