INAUZWA Kwa anayetaka kufungua biashara ya kuuzia watu filamu au nyimbo (softcopy) karibu tufanye biashara

3TB desktop ikiwa na package ya Movie za kwenda kuanza biashara kabisa Naiuza kwa 300k. Ukiichukua n kuchomeka kwenye mashine yako basi 5k to 10k per day n simple hiii n movie tu haina kitu kingine.
Laki 3? Desktop yenye 3TB HDD!
 
Laki 3? Desktop yenye 3TB HDD!
Laki 3 ni HDD pekee hamna mahali nimeandika Nauza Desktop yenye 3tb HDD kwa 300k

haipo na haitokaa itokee na hata ikitokea n kwa wengine mimi siwezi kukuuzia desktop yenye 3tb na movie zake kwa 300k.
 
Laki 3 ni HDD pekee hamna mahali nimeandika Nauza Desktop yenye 3tb HDD kwa 300k

haipo na haitokaa itokee na hata ikitokea n kwa wengine mimi siwezi kukuuzia desktop yenye 3tb na movie zake kwa 300k.
Ungeandika external HDD ungeeleweka vizuri zaidi.
 
"The order" unayo mpaka series ya ngapi?
 
Unauziwa kulingana na week iliyotoka,kila wiki vinatoka vipande 7 au 8,Hivyo ukifika utauziwa vipande 7 au 8 kwa 1000, Havijachanganywa.

Movie ikisha fika mwisho ndio inakua na bei ya pamoja,ila sasa hivi haijaisha Unauziwa kwa Wiki.
Unaijua hii biashara halafu upo cheap Sana
Mimi na movie library ya kawaida jana nikaenda store moja nikawauliza kujaza 300Gb shngp wakanijibu 70k.nikatathimini nikaona 3T wataniambia 700k
Na 30Tb itakuwa 7M na 60Tb itakuwa 14M .Ngoja nijipange nifikishe 2M ninunue hard disk niconvet library yangu kuwa mini Store
 
Unaijua hii biashara halafu upo cheap Sana
Afadhali umejua kuwa nipo cheap,tofauti na wengine wasio elewa kitu, Nimefanya iwe Cheap Makusudi kabisa maana kila jambo lina sababu zake,waache wasiwahi ofa wakija nitafuta tena Bei itakua nyingine kabisa.

Kwasasa wanaojua hili ni dodo limedondoka kazi kwao kuchangamkia fursa.
 
Mkuu nitakutafta, japo sijawahi kufanya hii business lakini wakati unaniuzia package utanipa na tuisheni kidogo. Asante.
 
Mkuu nitakutafta, japo sijawahi kufanya hii business lakini wakati unaniuzia package utanipa na tuisheni kidogo. Asante.
Anytime Mkuu,hilo hata halina ubishi lazima nikikupa movie ntakwambia movie unauzaje na ili upate pesa ntakwambia ufanyeje ili upate pesa kuptia movie.

Karibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…