Mkushi w jani
JF-Expert Member
- Oct 2, 2021
- 1,798
- 1,570
Mie ndio natka kufungua nipo kwenye process ya kutafuta eneo naomba ushauri wako nfanyajeUsiogope mkuu vitu vinaongeleka Muhimu uwe Serious kwanza mengine yanabebeka na kusaidiana ila ni lazima uonyeshe NIA kwanza.
Laki 5 yote hiyo wakati unaweza kodi frame KKOO hata ndani ndani huko kwa 200K kwa mwezi ukaunga Faiba au Zuku ya 200K kwa mwezi ukadownload hadi uchokeila milion 4 palefu san, mfano mtu akaweka bando la laki tano hawezi pakua movie za kutosha kutoka link mbalimbali?
1st Your Not SeriousChukua laki4 unanikopia vyote 60TB,
Mimi sifanyi biashara napeleka mzigo home ntaangalia zile za English na mke yai halipandi Kama diva ataangalia hizo za kina Lufufu.
Ukishapata eneo fungua biashara yako mkuu, mengine ushauri tutaulizana na kushauriana ukiwa kazini kwako.mie ndo natka kufungua nipo kwenye process ya kutafta eneo naomba ushauri wako nfanyaje
Laki 5 yote hiyo wakati unaweza kodi frame KKOO hata ndani ndani huko kwa 200K kwa mwezi ukaunga Faiba au Zuku ya 200K kwa mwezi ukadownload hadi uchoke
Boss jumla nina 100TB used 10 .72TB sawa ofa yangu iko chini la wewe haupotezi chochote tukifanya biashara.1st Your Not Serious
2nd hujui thamani ya 60TB (and i believe hauna) Sixty TB ukishajua thamani yake utaidharau sana hiyo offer uliyoitoa.
3rd Ombi lako haliwezekani hata kwa 1M (bado) haiwezekani
Ndio mana mna underrate biashara za wengine sio? Kwasababu akikupa yeye kwake inabaki mnahisi kama ni kamchezo ka hide and seek..Boss jumla nina 100TB used 10 .72TB sawa ofa yangu iko chini la wewe haupotezi chochote tukifanya biashara.
Si rahisi kama unavyodhani.ila milion 4 palefu san, mfano mtu akaweka bando la laki tano hawezi pakua movie za kutosha kutoka link mbalimbali?
Anafikiri movie ni nyimbo za kutoka BEKABOYsi rahisi kama unavyodhani.
uzuri ushamjibu vyema post no #11Anafikiri movie ni nyimbo za kutoka BEKABOY
Ongeza software na games.Nazi Ignition
Unahisi laki 4 yako inauwezo wa kuzalisha ofisi ya namna hiiii? Unajua hii ofisi kwenye picha ndani inaendeshwa kwa HARD DISK zenye storage kiasi gani?
Kwa taarifa fupi tu, hii ofisi unayoiona kwenye picha ndani ina Movie Store za ukubwa wa ONLY 40TB, just 40TB
Kupata Mzigo wa hii ofisi wote 40TB (cream movies) itakugharimu 10mil i hope umesoma vyema na unaelewa 10MIL unaweza nunua BOxer ngapi ukaingiza mtaani.
View attachment 2155650
Hivi bwana mkubwa ushawahi kununua Movie za kuangalia tu wewe binafsi na familia nyumbani?Chukua laki4 unanikopia vyote 60TB,
Mimi sifanyi biashara napeleka mzigo home ntaangalia zile za English na mke yai halipandi Kama diva ataangalia hizo za kina Lufufu.
Ndio boss nilishawahi nunua.Hivi bwana mkubwa ushawahi kununua Movie za kuangalia tu wewe binafsi na familia nyumbani?
Software na Games huitaji Mashine ya Peke yake kabisa tena mashine isiyokua na ANTIVIRUS.ongeza software na games.
Nimekuelewa mno, napenda sna turkish movie & series tatizo niko mkoani.Turkish series zipo za kutosha mKUUU tukianza na Dingi lao la historical Ertugul
ukiachana na ertugul kuna list kadhaa ya Hot Turkish Love stories kwa Historical series zote zipo boss...
Bir Umut Yeter (Action Kali sana)
Sampiyon (action iliyo emotional sana) Hapo utakutana na single father aliemlea mwanae aliezaliwa na mama mtu kufariki,Baba mtu hana kazi yani Kama machozi yapo karibu hii sio movie ya kutazama.
ICERDE (mashine ya Action)
Kurulus Osman (Historical)
Sanger (Historical)
Ask mantik itikam (Love story)
Teskilat (Hatari na Nusu)
Soz (Millitary Action Mchaka mchaka mwanzo mwisho kutana na bwana Agaaaaaaah na kina Yavuuuz)
ADA MASALI (ukitaka enjoy Week end Anza na hii)
Kis Gunes (hatari sana)
Marasli
Ariza
AND many many many more Turkish zote zilizopo nikimuwekea mteja hawezi ishia njiani, Turkish series ni nzuri wanajua sana.
Wale wa kutafsiriwa DJ murphy ana Turkish series za Hatari sana
Seen
Sanger
Alparslan
Soz
Icerde
Marasli
Teskilat
Kis Gunes
Sampiyon
Ferhat
Hiyo ni list ya DJ MURPHY moja ya ma DJ BORA kwa wakati huuu anae ingiza maneno kwa ufasaha akitafsiri movie safi kabisa No matusi, no lugha za kihuni DJ mstarabu na SMart..
Wapenzi wa Turkish karibuni
Wapenzi wa Philipines karibuni
Mataifa haya mawili Philipines na Turkish ni special case wana movie kali sanaaa ila wateja wengi hawajajua kuwa kuna vitu wana miss kwa kutoangalia movie toka sehemu hizi mbili, nadhani kama ni drama n love story philipines ni habari ingine.
Huwa unanunua kwa bei gani movie au series?Ndio boss nilishawahi nunua.
Mkoani ili u enjoy tafuta external za GB 250 au 300GB mbili kisha moja nakua nayo huku nyingine unakua nayo huko,ukimaliza hizo huko unaniambia nakutumia hii nyingine ikiwa na movie pendwa ulizontajia kwahyo external zinapshana hapo njiani, 250 inakuja kwako 300 inakuja kwangu,mchezo wetu unakua ni huo huo,Mpaka pale utakapo staafu kuangalia movie.Nimekuelewa mno, napenda sna turkish movie & series tatizo niko mkoani.
ila milion 4 palefu san, mfano mtu akaweka bando la laki tano hawezi pakua movie za kutosha kutoka link mbalimbali?