Kwa anayetaka kujiajiri na mtaji mdogo

Kwa anayetaka kujiajiri na mtaji mdogo

ALLY RIYAMI

Senior Member
Joined
May 26, 2012
Posts
115
Reaction score
15
See me ila andaa mtaji wa kama Milioni 2 nikupe business idea.
 
Mh! Yaani 2m/= ni ya business idea tu! Hapo business yenyewe haijaanza bado. Ndo mtaji mdogo huo!?! Naondoka kimyakimya, ngoja waje wenye kuona mil 2 ni senti ndogo. Kwangu ni maji marefu.
Kila la heri.
 
Huyu atakuwa ni mganga wa kiyenyenji kutoka unguja au mambasa tena ni mahodari sana kwa dawa
 
Mh! Yaani 2m/= ni ya business idea tu! Hapo business yenyewe haijaanza bado. Ndo mtaji mdogo huo!?! Naondoka kimyakimya, ngoja waje wenye kuona mil 2 ni senti ndogo. Kwangu ni maji marefu.
Kila la heri.
Naona kama tumemuelewa vibaya, me nafikiri hy 2m sio gharama ya hy busines idea bali ni mtaji wa hy business atakayokushauri uifanye. Kwa hy labda atuambie hilo wazo la biashara analiuza kwa kiasi gani
 
Hivi!!! Tanzania kweli ishakua matured capitalists nation.
 
kwa nini usielezee plan hapa hapa kama mtu ana iyo mil 2 atafute afanye iyo kazi. Sasa ww unataka mtu awe nayo ndio uumpe ww mwizi nn
 
kwa nini usielezee plan hapa hapa kama mtu ana iyo mil 2 atafute afanye iyo kazi. Sasa ww unataka mtu awe nayo ndio uumpe ww mwizi nn

Msimwelewe vibaya jamani. Hata yeye hiyo ndiyo business plan yake!
Kwa maneno mengine hata yeye hiyo ndiyo biashara yake.
 
wadau kwanza hamuelewi pia hamjiamini .cjazungumzia kua uje na hyo pesa ya busness idea.huo ni mtaji.co mnatukana ,mnablem tuu,kweli wengi uelewa mdogo.inshort nimesoma ujasiliamali udsm from udbs so njo tu plan busness from zanzibar to dar.
 
Mh! Yaani 2m/= ni ya business idea tu! Hapo business yenyewe haijaanza bado. Ndo mtaji mdogo huo!?! Naondoka kimyakimya, ngoja waje wenye kuona mil 2 ni senti ndogo. Kwangu ni maji marefu.
Kila la heri.

Soma ukiwa unetulia na kuconcentrate utaekewa mwanzisha uzi anamaanisha nn,mm nilivyomuelewa ni kwanba kama una mtaji wa kuanzia 2m uwasiliabe nae ili akupe wazo la biashara litakaloendana na mtaji wa 2m.
 
Mwaga wazo basi mkuu tujue tunatokaje
2m. Sio shida tatizo biashara gani mtu ufanye?
 
Back
Top Bottom