Kwa anayetaka kujiajiri

SOKETI

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2010
Posts
206
Reaction score
50
Kila mtu ana malengo aliyojiwekea katika maisha yake na kila mmoja anaitaji maisha mazuri. vyanzo vikuu nya kipato katika maisha ya binadamu ni kuajiriwa, kujiajiri, kufanya biashara na kiwekeza. ili uweze kupata kipato cha uhakika inakulazimu uwe na uwezo wa kutumia muda wako vizuri. Na njia nzuri ya kukuza na kupata kipato kisichokuwa na mwisho inakulazimu uwe na biashara au uwekeze.
DUnia inazidi kusonga mbele na teknolojia inakuwa siku hadi siku. Watu wanaweza kufanikiwa wakifanya kazi pamoja na kwa ushirikiano wakinia mamoja. Network Marketing ni njia bora inayoweza kukuongezea kipato chako na itakayokuwezesha kujiajiri na kupata kipato unachokitaka kwa mwezi hata mwaka mzima.
Kwa yeyote atakayehitaji kujua zaidi waweza kuwasiliana nami kupitia namba 0766476220.
 
What is a NETWORK MARKETING? how it works?
Hebu toa darasa kidogo tu mkuu washikadau wakuelewe vizuri
 
Forever and living product nini? ua nini mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…